Tangazo: Aliyeiba bata wangu amrudishe

Mr Antidote

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
953
Reaction score
1,304
Wakuu tusaidiane kumnusuru huyu jamaa b4 hizo siku tajwa kuisha!! 😂😂😂😂
 

Attachments

  • 1450903783029.jpg
    38.3 KB · Views: 756
Mwambie asinitishe mm ni mtoto wa mjini bhana ebo.......
 
Anategemea kuwa hao bata wangali hai!!?
 
bata wanaliwa nyama then kichwa, miguu, manyonya vinaachwa ili ukifanya jambo hadhuriki mtu hapo. Alinifundisha Bibi. ila lazima upitie sehemu ufanye mambo.
 
Ohooo.... Arudishe bata huyo.patanuka hapo.
 
Ungeanza na wale waliokwapua pesa za umma.
 
Duh! hapo noma, rudisha bata maana kuna watu wa jamii fulani huwa hawakawii kukufanyia fanyia.
 
Nimeshawauza naomba nikuletee pesa tupigiane pasu nipe jibu
 
Uliyeiba bata rudisha kuna mwizi wa kuku alirogwa akawa shoga mtaa huo huo.Alipigwa kitu akawa analazimisha kugongwa wakati hapo zamani hakuwa na mchezo.Nakuonea huruma rudisha bata wa watu usijegeuzwa wa kunyakunya .
 
Bata gani huyo au ni yule wa offside trick???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…