Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
duh kisa nn tena dogo? sijakung'ong'a nimemcheka alomix mambo kuwa ww ndo madame BJaman manengelo najua unaning'ong'a [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
👊👏[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]haya bhn
😟😟😟 nipo na mshana kibaha miye😊Niko Dar saiv naomba tuonane basi!
Mimi sitaki kulea mkùu. Nataka tuleana. Pia Nahitaji mtu wa kutumia nae kiinua mgongo[emoji23][emoji23][emoji23]unadhan mie nalea bas mkuu hapana nalelewa [emoji30]
Utamshitak rais wa nchi ?Ndugu yangu mm ni mwanamke kamili jaman siyo mwanamme
Mwambie mwenyekit aache kusambaza uzushi nitamshtaki
😂😂😂kama wa kutumia naye kiinua mgongo kwakweli wanifaa😊Mimi sitaki kulea mkùu. Nataka tuleana. Pia Nahitaji mtu wa kutumia nae kiinua mgongo
hapana...we juzi si ulikua pande za huku kwetuHaya nilijua upo town!
Basi nitakutafuta tuyajenge[emoji23][emoji23][emoji23]kama wa kutumia naye kiinua mgongo kwakweli wanifaa[emoji4]
Hakimu atakayesikiliza hiyo kesi ataliwa kichwa.Ndiooo
kama ushapata kiinua mgongo wakati ndo huu mkuu😂😂😂 karibu mnoo..nitakupa mahaba kama yooote..😊😊 naamini na mm tutatfta kiwanja tujenge nyumba ya biashara mkuu jina tuandike manengelo😊👏Basi nitakutafuta tuyajenge
Hawaruhusiwi hapa nchiniAtakuwa hakimu kutoka marekan