waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,749
kanyau kanguKaone
Wewe chalii kwenye thread za mademu na bia bia hukosagiKalumanzila replay your comment!
From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover [emoji3590] [emoji3590] [emoji3590]Wale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!
Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.
Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.
Inaniuma lakini hakuna namna jamani inaumaaa Demiss miyeee sijui nilie kichagaa ila ngoja nivumilie.
Wale waliokuwa hawapendi mahusiano yangu leo watakunywa biaaa wengine watanyaaaa kwa suruali pooh
Na ndo nimeshaachika sasa nitafanyaje sasa jamani khaaa .
Ila mimi siyo wa kwanzaa jamani ila kwa kuwa ni Demiss naonekana wa ajabuu ila sawa tu nakubali mapovu yoteeeeew.
Nyongeza:
Sitaki maswali jamani mtaniumiza rohoo hata mm nina moyoo sina chumaa.
Iiiih nalia mm jamani naliiiiaaaa iiiiih msione naandika hivi nimejikaza kisabuni iiiiiii jamani iiiiiiih uuuuuuuh jamani mm Demiss nitaringa wapi mm eeeeeeeh iiiiiii
Location: Platnum Mapinga. View attachment 975950
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23]Fursa kwangu hii.
Neema niliyoisubiri kwa muda mrefu hatimaye imewadia
[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35]Ngoja tuchangamkie fursa hii,kalumanzila alikua anatuogopesha kwa mambo yake kuja pm,ngoja tuje kuyajenga ss
Kwanini uweke hili tangazo siku moja kabla ya Christmass?! Wanaume wenzangu huu ni mtego.
[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35]
DuuuuhFrom the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover [emoji3590] [emoji3590] [emoji3590]
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
ππππππππ[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23]
Out of passion of love you can still be friendsDuuuuh
Hili ndio nilikuwa nalisubiri sasaFrom the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover [emoji3590] [emoji3590] [emoji3590]
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kameshapata kabahili kama nn ...kaniahidi nguo ya sikukuu mpk leo kimya