[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]... Moto hauzimi... [emoji24]Safi true definition of a gentleman!
Kwa maneno hayo hachomoi kupasha kiporo
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtani naona maneno kuntu kabisa ya kuhifadhia kiporo ili kisilete shida wakati wa kupasha.
Nakupm faster nipo tegeta nije hapo fasterWale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!
Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.
Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.
Inaniuma lakini hakuna namna jamani inaumaaa Demiss miyeee sijui nilie kichagaa ila ngoja nivumilie.
Wale waliokuwa hawapendi mahusiano yangu leo watakunywa biaaa wengine watanyaaaa kwa suruali pooh
Na ndo nimeshaachika sasa nitafanyaje sasa jamani khaaa .
Ila mimi siyo wa kwanzaa jamani ila kwa kuwa ni Demiss naonekana wa ajabuu ila sawa tu nakubali mapovu yoteeeeew.
Nyongeza:
Sitaki maswali jamani mtaniumiza rohoo hata mm nina moyoo sina chumaa.
Iiiih nalia mm jamani naliiiiaaaa iiiiih msione naandika hivi nimejikaza kisabuni iiiiiii jamani iiiiiiih uuuuuuuh jamani mm Demiss nitaringa wapi mm eeeeeeeh iiiiiii
Location: Platnum Mapinga. View attachment 975950
Jibu kutoka kwa mshana:::::
From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover   
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili ndio nilikuwa nalisubiri sasa
Natembea kifua mbele hapa kukwapua mtoto mzuri 😛😛😛
Ila mtani hebu kuwa mkweli, hakuna tego lolote ulilomwacha nalo kweli?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dah kweli kabisa, huu ni mtegoKwanini uweke hili tangazo siku moja kabla ya Christmass?! Wanaume wenzangu huu ni mtego.
Hahahahahahhahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu naona usingizi hauupendi kabisa, sipati picha hizo route atakazokua anakupigisha kalumanzila usiku wa manane kukukomoa.
😛😛😛😛😛😛Kuna hatari hapa, ukiunganisha kojoleo lako tuu, haliachii...
NB: Muke ya muganga ni supaguluu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahhahahaaaa
Ile kauli ya kuvumiliana katika shida na raha hapo ndio mahali pake
Heeeeehh, Easy come, easy go!!From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover [emoji3590] [emoji3590] [emoji3590]
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nakuomba inboxWale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!
Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.
Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.
Inaniuma lakini hakuna namna jamani inaumaaa Demiss miyeee sijui nilie kichagaa ila ngoja nivumilie.
Wale waliokuwa hawapendi mahusiano yangu leo watakunywa biaaa wengine watanyaaaa kwa suruali pooh
Na ndo nimeshaachika sasa nitafanyaje sasa jamani khaaa .
Ila mimi siyo wa kwanzaa jamani ila kwa kuwa ni Demiss naonekana wa ajabuu ila sawa tu nakubali mapovu yoteeeeew.
Nyongeza:
Sitaki maswali jamani mtaniumiza rohoo hata mm nina moyoo sina chumaa.
Iiiih nalia mm jamani naliiiiaaaa iiiiih msione naandika hivi nimejikaza kisabuni iiiiiii jamani iiiiiiih uuuuuuuh jamani mm Demiss nitaringa wapi mm eeeeeeeh iiiiiii
Location: Platnum Mapinga. View attachment 975950
Jibu kutoka kwa mshana:::::
From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover   
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahaha..hela ya christmass inatafutwa sio??Kwanini uweke hili tangazo siku moja kabla ya Christmass?! Wanaume wenzangu huu ni mtego.
Huko sio kuacha kirahisi, kunaitwa kuacha kishujaa kwa maana sikukuu zimekaribia.Heeeeehh, Easy come, easy go!!
Mapenzi yalishaisha huwezi kukubali kumwacha mtu unayempenda kirahisi namna hii.
[emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kufanya hivyo Mungu hapendiIla mtani hebu kuwa mkweli, hakuna tego lolote ulilomwacha nalo kweli?
Tumekubaliana iwe hivyo mwisho wa mapenzi sio mwanzo wa uaduiHeeeeehh, Easy come, easy go!!
Mapenzi yalishaisha huwezi kukubali kumwacha mtu unayempenda kirahisi namna hii.
"Maana sikukuu zimekaribia" lemme agree with yuuu!!Huko sio kuacha kirahisi, kunaitwa kuacha kishujaa kwa maana sikukuu zimekaribia.