TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe tena kwa wivu haujambo mbn ulivyoachwa na Yna hatujasema kasoro zako maana umekamilika kila idara . Haya twende tuendeshe gurudumu la udangaji huwez kushindana na papuchi kamweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angalau umeanza zungumza lugha moja.
Mwanaume haachwi hata siku moja, mwanaume anaacha, au ananuniwa kwamuda kisha anaendelea kujilia vitu vitaaamu.
Ukiona mwanaume kaachwa basi labda, hana pesa hana elimu hana kazi hajui kukaza vilivo .lkn km ana kimoja wapo hapo basi ujue haachwi !!!

Ila ukiona mwanamke kaachwa yaan kaachwa ujue Hajui mapenzi,, sio mzuri wa kisura, ana umbo baya, hii nisababu sisi wanaume huwa tubampenda mwanamke kwanza kwa Kuangalia "Sura na umbo" je vinatuamsha kimapenzi?????km haamushi basi unawezatongoza ili usafishe rungu tuuu. Halafu umpige chini au usimtongoze kabisa.

Sasa kwa kesi kama yako....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichagulie sababu ya jamaa kukuacha....ila acha kusingizia oohoooo alitaka nipate kazi oohooo pesaaa.

Amin nakuambia, ungekua Demu mkaaaaaali... Jamaa asingekuachaa, hata km kaoa, bado angekufanya mchepuko[emoji23][emoji23][emoji23]

Demiss !!!!!!
 
Unavyojieleza kama hakimu wa mahakama ya mwanzo unachojua wewe ni Demiss tu kwa sababu yawezekana kuna kitu nimekuzid haya endelea kutiririka shost ukimaliza nikuvishee deraaaaaa
 
Aisee yaani imekuwa ni Breaking of December, The Two Enchanted Love Doves Go Separate Ways for the New Year (Joking).

Nb

Usikute hawa jamaa wanafanya hivi watizame upepo wa jf unaendaje ili wawajue wabaya wa mahusiano yao hahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Unavyojieleza kama hakimu wa mahakama ya mwanzo unachojua wewe ni Demiss tu kwa sababu yawezekana kuna kitu nimekuzid haya endelea kutiririka shost ukimaliza nikuvishee deraaaaaa
Mmhhhh muone hahahaha leo mpaka Ulog out kwanza !!!! Wacha niwe hakimu na mwanasheria ...Nimekubali [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ukweli utabaki kua uo, ungekua ni demu mkali kwelikweli, guu guuu, kalioo kalioo. Sura sura kweli, shape matata ......jamaa asingekuacha.

Subiri ,siku ujue demu wake mpya, ukijilinganisha, utagundua kua wee ni wakufatwa Usiku...mwenzako anafatwa Mchana kweupeeeeeeeee!!!.
 
Hii nahis ni zawadi yako kwangu hii Christmas

Cha msingi usiwe single mother
 
Aisee yaani imekuwa ni Breaking of December, The Two Enchanted Love Doves Go Separate Ways for the New Year (Joking).

Nb

Usikute hawa jamaa wanafanya hivi watizame upepo wa jf unaendaje ili wawajue wabaya wa mahusiano yao hahaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan una wivu utazan ulikuwa unabanduliwa wewe haya tiririka shogaaa anguuu
 
Niungane na nani mie

Mapenzi ya wawili yanichoshe kuandika gazeti?
Hapana hiyo nguvu bora niitumie kutafuna gums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdangaji wa kiume huyo nishamzoeaaaa tunadanga wotee Jf ataachaje kuwa na wivvu na kuniandikia gazeti
 
Demiss mimi ningetangaza nia kwako lakini ngoja nitulie kwanza nisubiri uachane na atakaye mliplace Mshana jr, najua naye mtaachana tu, then mimi ndo nitaingia hapo moja kwa moja!!!!!
 
Demiss mimi ningetangaza nia kwako lakini ngoja nitulie kwanza nisubiri uachane na atakaye mliplace Mshana jr, najua naye mtaachana tu, then mimi ndo nitaingia hapo moja kwa moja!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…