harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Na ila laputopu unayotumia kuagulia ina yale maneno ya kuitia mizimu?[emoji23][emoji23][emoji23]nimetumia kamusi
Huu ndo Uanaume Jooh !! ... Kwanza muogope demu, uliye naye..alafu anakuambia bado nawasiliana na my X et kirafiki.Mimi ni mmoja ya watu ambao tukiachana sina tena time na wewe..
Una miaka mingapi my wangu ? Nataka tuunganishe koo zetu[emoji23][emoji23][emoji23] demmis alikua mtoto.sana huenda kwa mshana..mayb nawaza tu...wakati demiss anawaza bata mshana anawaza maendeleo lol...ila raha sana kuwa na mtu mzima ht ukikosea hAcharuki kiviileee anaumia tu moyoni[emoji14][emoji14] ss uwe na age mate yako[emoji23][emoji23]madongo kila siku gubu tu..
Nenda kasome cooment yakee au hapa.Nangoja uthibitisho toka kwa Mshana Jr [emoji12]
Eeehh rafiki upo nimekumiss sanaHi hi hi hi nacheka kikoromije 😎😎😎 Hii ni sandakalawe au ni mtego wa watu humu kufanyiwa UROZI!?
Kuachwa kaachwa Demiss wengine wanaandika magazeti khaaaa jamani
Eti demiss. Haya maneno yanayosemwa hapa ofisini Lumumba kwamba wewe sio mwanamke bali ni mwanaume. Yaani hata mwenyekiti wetu wa chama anajua wewe ni mwanaume. Yana ukweli kiasi gani ?Kuachwa kaachwa Demiss wengine wanaandika magazeti khaaaa jamani
Eeehh rafiki upo nimekumiss sana
Inawezekana wanaanda movie wapendanao wana mambo
Una miaka mingapi my wangu ? Nataka tuunganishe koo zetu
Asante rafiki heri ya sikukuu pia.Nipo rafiki miss you too. Huwezi jua maana hawa ni chanda na pete. Merry Christmas and Happy New Year rafiki.
Hahahah
Anachanganya mafile jamani
Nitakutafuta tuyajenge. Unaweza kunifaa katika siku za usonimy first born anaingia form4 2019.....approaching 50
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji144][emoji144][emoji144]Nenda kasome cooment yakee au hapa.
From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover   
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]