Tangazo Dharura: Per-diem Court Interpreter Job Opportunities

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
Wakuu wote Jamii Forums, again ninaomba kuwasumbua kidogo nilipokuwa College US, nilisoma darasa moja na sister mmoja ambaye sasa ni kiongozi wa juu katika Court System ya huko New York, Sate. Jana alinipigia simu akiomba nimsaidie kuhusu hili ombi la kazi hapa chini:-



Ni matumaini yangu kua kuna wananchi hapa watakuwa interested na hii kazi ambayo ni challenging na pia ina mchuzi kidogo wa kuridhisha, kwa mwananchi yoyote aliye na interest either unaweza kuwasiliana na huyu dada straight, au tuwasiliane kupitia PM, sina noma na nitafanya kila ninaloweza kutoa msaada.

Wamiliki na Mods, naomba ipelekwe inapotakiwa baada ya ku-expire.

Heshima Mbele Wakuu Wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…