TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

southernboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
906
Reaction score
1,109
TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI

Unahitaji fundi umeme wa magari?
Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati!

Huduma ninazotoa:
πŸ”§ Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis)
πŸ”§ Kurekebisha na kufunga starter & alternator
πŸ”§ Kurekebisha mifumo ya taa za gari
πŸ”§ Programu na ufungaji wa computer box (ECU)
πŸ”§ Urekebishaji wa wiring zote za gari
πŸ”§ Kufunga accessories za umeme (alarms, reverse camera, radio n.k.)

Kwa nini uchague huduma zangu?
βœ”οΈ Bei nafuu na makubaliano
βœ”οΈ Huduma za nyumbani / site (kwa makubaliano)
βœ”οΈ Kazi safi, haraka na ya uhakika

Mawasiliano:
πŸ“ž 0774778552
πŸ“ Huduma zinapati
kana Dodoma
 
Dodoma kubwa. Ofisi yako iko sehemu gani?
 
Dodoma mnaipataje jamiiforum.
 
Kuna passo apa inavipengele viwili
1. Emergency key ile ya kubonyeza ukiwa mbali na gari ili ku lock na ku unlock kunamda inafanya kazi wakati mwengine inagoma hali ya kua imeshawekwa betri jipya la rimoti yake.
2. O/D OFF inamwekua muda wote hata kama uki bonueza ki batan cha kuizima pale pembeni ya gear liver still inaendelea kumwekua.

Hapo changamoto inaweza kua nini mtaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…