Kisusi Mohammed
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 563
- 473
- Thread starter
-
- #21
Hapan'shaka raia wanaogopa hapo kwenye ugharama wa spare, teh teh! Kila la kheri chief
Hii yangu sio six cylinder, ni four cylinder na spea hazina magumashi km za Toyota zilizojaa minadani! Ukitaka maduka zilipo spea njoo nikuelekeze.
mbona wewe imekushinda