Tangazo gazetini

Edmund

Senior Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
123
Reaction score
62
Hivi ingekuwaje? wanaJF kama kila tukiachana tunaenda Gazetini kuweka tangazo la rangi na ukurasa wa mbele kama hivi.

TANGAZO
Kuanzia leo tarehe.................., mimi ...................... natangazia umma rasmi ya kwamba uhusiano wangu na Bi/Bw................................. ndio umefikia mwisho.

Wasalaam, wanaJamii Wote
 
NNNNZURI SANA KWA SABABU UTAPATA MWENGINE AS SOON UTAKOPOJULIKANA SINGLE...:smile-big:
 

Ingekuwa poa kweli lakini mmmhhh utasumbuliwa na waliokuwa wanakutamani
 


hii ingekuwa inaambatana na tangazo la kutafuta ngoma mpya attached ktk la kuachana ingekuwa mzuka mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…