MAFIE JR
Senior Member
- Feb 20, 2016
- 117
- 92
Wadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na kuvutia.....please wahusika kuweni creative zaidi hili tangazo halivutii kulitizama