Litakuwa limetengenezwa kwa smartphoneWadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na kuvutia.....please wahusika kuweni creative zaidi hili tangazo halivutii kulitizamaView attachment 411181
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Welcome Onboard New Aircraft!!!! Nani sasa anamkaribisha mwenzie? New aircraft anakaribishwa onboard
Wanasema twiga alipata ajali ya bodaboda, kwa hiyo ni mlemavu hv sasaYaani tangazo na HIYO LOGO YA TWIGA IJAKAA KIMVUTO HATA KIDOGO TUNASHINDWA TAZAMA LOGO ZA MASHITIKA MENGINE YA NDEGE KAMA RWANDA,KENYA,ETHIOPIA NA MENGINE MENGI......NA HILI PIA WALITAZAME SINATATIZO NA TWIGA BALI BY THE WAY WALIVYO MCHORA
Wadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na kuvutia.....please wahusika kuweni creative zaidi hili tangazo halivutii kulitizamaView attachment 411181
Natumai una computer yako.Wadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na kuvutia.....please wahusika kuweni creative zaidi hili tangazo halivutii kulitizamaView attachment 411181
Wamewaona mkuu ila sasa nani wa kuwalipa wakati tuko kwenye kampeni funga mkanda bana matumizDaaah aisee ...ina mana hawajaona wataaalam hata wa graphics and design ..hivi huyo alie design amesomea wap duuuh