Tangazo hili halivutii, wahusika kuweni wabunifu zaidi tusitiane aibu kiasi hiki

Wametumia Microsoft Word, kutengeneza hili Tangazo.
 
poor and unattractive graphics design for an ad.
 
Jamani tuacheni ushabiki usiokuwa na tija....hili tangazo ni dhahili kabisa ni mtu tu amekaa kwake kadizaini anasambaza mitandaoni na sisi kabisa tunaamini kuwa ni tangazo la serikali...??

Kweli Jf imeingiliwa


Poor tanzania
 
aisee kweli watu wanacheza na kazi za watu wangenipa mm hiyo kazi niifanye
 
Akili zangu chache zinavonishauri;
Hapo naona kalebo ka 'A' ni kwanini wasingeacha kale kalebo kastand badala ya A au wakafute kabisa. Pale inasemeka kama A Air Tanzania.
Alafu kwani A ni nini mpaka ipambwe hivo.
Yule twiga si wangeweka kichwa pekee. Au kama vipi wampunguze size awe mdogo fulani hivi aendane na mkia wa ndege.
Ule mstari wa kijani kutenganisha blue na white ungekuja mbele na kucover mlango wa nyuma na injini zisiwe za blue au uje mpaka mbele ya injini. Pale ulipo unafanya ndege iwe kama imedizainiwa na mwanangu.

Hilo tangazo lao ni 'nyambaf' wanadhalilisha wabunifu wa Tanzania.
Ule uandishi ni wa kitoto, nilikuwa nafanya nilipokuwa Form 2. Wawaige hata FastJet au watangaze dili watu wadizain!!

Mapanga Shaa oyeee!!
 
Wamejaza rangi ya blue tupu,
Waweke ATC inaanza kuruka,nyuma yake au chini kuwe na mlima kilimanjaro,na pembeni twiga wanatembea.
Ni muhimu kuangalia contrast ya rangi wanazotumia,waache ulafi,limekaa jitu na jitambi lake kwenye computer,ubunifu hana, anatuletra mauzauza,halafu wanaandikia ilikuwa tenda wanaiba tu.
 
Ndo hivyo pangaboy linatakiwa kutangazwa mkuu![emoji1] .....wewe unataka pangaboy litangazwe kama airbus??
 
best yangu upo kumbe ulipotelea wapi nimekutafuta sana
nipo dada angu ladyfurahia.habari za Siku nyingi.

majukumu yananifanya nikosee mda wa kutosha kufurahia mtandao wa JF kama nilivokuwa awali.
 
Tunabana matumizi. Unataka tutumbuliwe kwa kutumia hela nyingi kwenye matangazo?
 
Hao designers naona wamewatoa vijiji vya mlima sekenke na kuwarusha mjini direct, khaaaa hata watoto wa chekechea hawafanyi Huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…