Filipo Lubua
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 339
- 578
Tangazo la hovyo sanaHili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa. Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu watakunwa maziwa ya ASAS? Hatuzuii maudhui kama hizi zenye kuleta matatizo ya afya kwa umma maana tuko bize kuzuia maudhui zikosoazo serikali. π
Wivu wa kiwango cha lamiHili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa.
Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu watakunwa maziwa ya ASAS?
Hatuzuii maudhui kama hizi zenye kuleta matatizo ya afya kwa umma maana tuko bize kuzuia maudhui zikosoazo serikali. π
View attachment 1576237