Tangazo hili la uhamisho wa watumishi wanaotaka kuwafata wenza wao wa ndoa ni la kweli?

Tangazo hili la uhamisho wa watumishi wanaotaka kuwafata wenza wao wa ndoa ni la kweli?

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu nimeiona hii barua mahali, je, wakuu inaukweli?

Kuna mtu anafanya kazi Tanzania Bara na anataka kwenda kufanya kazi Zanzibar kumfata mwenza, je hili tangazo linamuhusu? Je, aanzie wapi?

Screenshot_20240927_225742_com.whatsapp.jpg

Wakuu nimeiyona hii barua mahali , je wakuu inaukweli? Kuna , mtu anafanya kazi tanzania bara na anataka kwenda kufanya kazi znz kumfata mwenza, je hili tangazo lina muhusu? Na anzie wapi?
Umeiyona?
 
Bora hata idadi ya wachepukaji ipungue mtaani maana unakuta mume yuko Kigoma mke yuko Lindi.
Hata maendeleo na family attachment inakua shida. Kugongewa na kuzalishwa watoto wasio wa ndoa. Nyuzi za kudai DNA test kutwa zinaongezeka JamiiForums
 
Kabisa ndoa za mbali zinashida
 
Back
Top Bottom