Tangazo hili la Yas linanitia mashaka

Tangazo hili la Yas linanitia mashaka

Chief Sanze

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
1,668
Reaction score
3,736
Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe na magifti na anajitaja kwa jina sijui Athuman Athuman na baadaye anasikika mama yake naye akishukuru kwa ushindi aliyoupata mwanawe.
Lakini ile sauti ya yule jamaa naamini ni kijana fulani maarufu ambaye ni mtangazaji wa Redio fulani maarufu hapa Dar,yaani bora wangeliweka kama tangazo tu lakini kujifanya ni mshindi halisi kwakweli hapana.
Mtu yeyote akitaka ajiridhishe asikilize kwa makini lile tangazo ataamini ni tangazo la mchongo.
 
Back
Top Bottom