Watu wana balls za kutangaza wazi wazi biashara ya kuchakachua rekodi ya matumizi/uchakavu wa gari, odometer reading, ukisikia "lawlessness" kwenye nchi ndo hii... Kwenye nchi zingine kurudisha nyuma odometer ni booooonge la crime!
Sasa tuseme jeshi zima la polisi na law enforcement wote kwa ujumla hamna hata mmoja mwenye exposure ya kujua maana ya odometer reading ? Kwa nini hawa watu wasikamatwe? Tanzania ipo consumer protection bureau?
Utakuta namba pia haijasajiliwaKama wanaweza kurudisha that means wanaweza vilevile kuongeza,kuna baadhi ya ofisi wanaweka mafuta kwa kuangalia kilometer zilizotembea so ni kuhujumu uchumi wa nchi,Ni kosa mwenye namba(0754 435988) hyo ashitakiwe haraka iwezekanavyo.....
Kama wanaweza kurudisha that means wanaweza vilevile kuongeza,kuna baadhi ya ofisi wanaweka mafuta kwa kuangalia kilometer zilizotembea so ni kuhujumu uchumi wa nchi,Ni kosa mwenye namba(0754 435988) hyo ashitakiwe haraka iwezekanavyo.....
Watu wana balls za kutangaza wazi wazi biashara ya kuchakachua rekodi ya matumizi/uchakavu wa gari, odometer reading, ukisikia "lawlessness" kwenye nchi ndo hii... Kwenye nchi zingine kurudisha nyuma odometer ni booooonge la crime!
Sasa tuseme jeshi zima la polisi na law enforcement wote kwa ujumla hamna hata mmoja mwenye exposure ya kujua maana ya odometer reading ? Kwa nini hawa watu wasikamatwe? Tanzania ipo consumer protection bureau?
Ukianzia ARV fake, Vipimo Fake, Odometer fake, Nini kimebaki?