Hii tena inacheza na akili zetu jamani wahusika tumechoka kutapeliwa tusaidieni! Looo! Kwa hiyo unaweza nunua gari lililotembea km 200000 ukaambiwa jipya! Huu wizi hatari sijui ni TBS,tume ya ushindani,polisi au mamlaka gani inahusika?. Sasa wengine watatangaza kupunguza umri wa kustaafu waendelee kula nchi miaka 60 unarudishwa mpaka 40 weweee!
Sasa huyu Labda utamstaki kwa kosa gani labda ? kwa Mfano I`ve my car and i`m not happy kwa ODO digits 500,000kms....nikaita fundi akarudisha to 20,000kms >>> utanishitaki ?
Sasa huyu Labda utamstaki kwa kosa gani labda ? kwa Mfano I`ve my car and i`m not happy kwa ODO digits 500,000kms....nikaita fundi akarudisha to 20,000kms >>> utanishitaki ?