Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ukiwa mochwari ni Kama upo Bandarini au Mgodini, pesa nje nje,Mara huyu anataka maji ya maiti nkKusoma kozi ya uhudumu wa mochwari ada ni laki tano? Tena kwa miezi mitatu?
Sent using Jamii Forums mobile app
CC Mshana JrNasikia ukiwa mochwari ni Kama upo Bandarini au Mgodini, pesa nje nje,Mara huyu anataka maji ya maiti nk
Hiyo kozi inaitwa je huo ni uhuni wa kupiga pesa tu kwa waalimu wa chache
Mshahara 2mil after tax[emoji706][emoji706][emoji706][emoji23][emoji23] navyoogopa maiti weeee
Hata iwe 5 milion hapanaMshahara 2mil after tax
Changamkia fursa...Mochwari?
Kwa kweli maana hii niliyonayo nimechoka sanaChangamkia fursa...