Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
kwa sisi tuliombali na dar es salaam, tunaomba kongamano hilo lirushwe na Mlimani TV. Asante.
Mimi sio mwanataaluma nimfanya biashara tu hapa kariakoo, vipi naweza hudhuria?
Ratiba hii hapa chini imeambatanishwa-Sambaza!
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Academic Staff Assembly
JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDASA)inawaletea:KONGAMANO LA KATIBA
MADA KUU: MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA
WAZUNGUMZAJI WAKUU:
1. PROFESA ISSA SHIVJI
2. NDG JENERALI ULIMWENGU
TAREHE: JUMAMOSI, 15 JANUARI 2011
UKUMBI: NKRUMAH, CHUO KIKUU CHA DSM
MUDA: SAA 4:00 ASUBUHI HADI SAA 8:00 MCHANA
WOTE MNAKARIBISHWA
Upewe saa nzima kwani umekuwa mtoa hoja inabidi uandae kongamano lingine kwa kawaida mass wanapewa 5-10min.Dr. Kitila tuko pamoja.
In fact nilisoma Raia Mwema last week jumatano waliandika Kongamano litakuwa "Jumamosi ijayo" nilipofika last Saturday nikakuta Nkurumah pako kimya!!! Nikarudi home na "Nondo" zangu nilizoziandaa.
Tutafika bila shaka ingawa nina wasiwasi muda unaweza usitoshe. Bora tumalize saa 10 jioni. Maana binafsi kama nikipewa fursa bila time limit, nahitaji kama saa moja kuwakilisha hoja zangu.