Kuna shamba la miti ekari 9.5 lenye Hati miliki linalouzwa huku mafinga
Miti imebakiwa na miaka miwili 2 tayar kwa kuvuna mbao shamba eka moja kwa kawaida ni shilling mill 14 lakini hili linauzwa mill 7 tu kama unaweza nunua wahi sasa bahati hii uje uuze kwa bei ya juu