Tangazo kutoka bodi ya mikopo kwa umma

MAJIY

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
34
Reaction score
4
TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO


BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O. Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz Website: Higher Education Students' Loans Board -HESLB


TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO



Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo na umma kwa ujumla, juu ya kuibuka kwa genge la matapeli wanaowalaghai wananchi ambapo hujitambulisha kuwa wao ni wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo.
 
Vipi kuhusu kuongeza muda wa application?mana watu bado hatueliwi kuomba mikopo wakati hata matokeo bado c uwizi huo!au ndo bora liende tu?
 
Mzururaji ka wewe,kiguu na njia ka amelishwa miguu ya kuku ataomba saa ngapii?
Hahahaaa!hapana bana man don.ishu ni kua bod wametoa tme wakati walengwa wenyewe hatima yao hawaijui mpaka sasa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…