Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
huna mawazo ya kuelimisha watu,kwanza hata jina lako mwenyewe linaonyesha kuwa wewe ni mchomvu na masikini na fukara wa mawazo,inaonekana wewe unatembea na wake za wachaga utageuzwa mke.
Mkuu una masihara! Nimeipenda ile ya sita,sababu kwetu tumezungukwa na wachaga kesho nawapa ili Tangazo,wakishahitimu watamsaidia mzee wangu kupunguza magugu.
kwanini chuo kichukue wamangi peke yake?
Zipo kozi nahitaji kujifunza lakini mimi (.......)
Tangazo kwa wachaga wote. Chuo kipya kabisa cha kichaga ( CHAGGA UNIVERSITY COLLEAGE OF LIFE ) kinatangaza kozi mpya kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kama ifuatavyo;
1- UBAHILI Miezi 3.
2-ULEVI miezi 5.
3- UCHAKARIKAJI miezi 6.
4- KUACHA WAKE KIJIJINI miezi 9.
5- KUENDESHA PIKIPIKI mwezi 1.
6- KUSOGEZA MIPAKA YA SHAMBA LA JIRANI miezi 12.
Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza Ndizi BUREE! Wahi nafasi ni chache sana. Ukipata ujumbe mtaarifu na mwenzako tafadhal😀
nya kite.
nya kite.
Kuore kindo pfo!
Kuna sehemu, pembeni ya thanks kwa ajili ya kuripoti kina umbo la pembe tatu na alama ya kushangaa... kitumie hiko!Ni utani tu mkuu sasa naihamishaje?
Kuna sehemu, pembeni ya thanks kwa ajili ya kuripoti kina umbo la pembe tatu na alama ya kushangaa... kitumie hiko!
asante, nitafikiria kuhusu jina "mohammed" lakini ndio nimezaliwa nalo ila leo ndio najua kuwa jina hili ni chovu, masikini na fukara.