tangazo kwa wachaga wote

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,598
TANGAZO
Kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, ukosefu wa dili, ugumu wa biashara, Ukali wa Rais mpya, kila familia moja ya Kichaga italazimika kutoa mwakilishi mmoja tu wa kwenda Moshi Mwezi ujao katika sherehe za Krismasi na Mwaka mpya. Tunasikitika kukosekana kwa mbwembwe tulizozoea kwa miaka nenda rudi
Imetolewa na
Mlezi wa wachaga mjini
 
mwaka huu hakuna kula kitimoto wala mbege moshi wote tunakula joto ya jiwe hap dar
 
Lazima tu break Kibosho. Ngosha hatuwezi
 
Utabaki wewe tuu mjini....tumewekeza kwa kizazi had kizazi.wewe mpiga dili utabaki ila anayewajibika lazima tuende mndeni kwa vyovyote
Utabaki wewe tuu mjini....tumewekeza kwa kizazi had kizazi.wewe mpiga dili utabaki ila anayewajibika lazima tuende mndeni kwa vyovyote
nikope basi twende wote hahahha
 
Wachaga tunapesa za kurithisha vitukuu vyetu. ..mambo sawa sawa! Hapa kazi tu! Asante JPJM UBARIKIWE SANA RAIS WETU. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…