daddys dota
Member
- Nov 21, 2014
- 66
- 4
Kwa wale wanaopenda kuanza kuifanya biashara ya nguo za mitumba au hata kwa wale ambao wanaendelea nayo,napenda kuwatangazia kwamba napokea order ya idadi ya nguo yoyote ile na tunakusafirishia mpaka mkoa uliopo,bei zetu ni nafuu kabisa,Pia kwa watakaohitaji nguo za special napokea order na kuwaandalia mzigo na kuwatumia.malipo yanafanyika kwa njia ya Mpesa,Tigo pesa na airteil money.Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0659965555.Tunapatikana Dar es salaam maeneo ya Savei-Mwenge.