Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao

Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu ambayo inalazimisha matokeo kama hawa majama au ikiwezekana kabisa kwa jinsi wanavyo cheza hawa majama tusicheze short pass tuwachezee long pass tukipata tuna peleka kule kwa akina kisinda na Mayele

Maana wana speed kitawafanya wawe na uoga wa kupata kama walivyo kuwa wana panga leo
 
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao...
Unaongea vitu gani wewe, wangekuwa ni ivyo unavyosema goli wangelipata mapema sana wamebanwa tena kwao wanakuja kupata kagoli dk ya 85 alafu unasema eti wanatisha we vipi bwana, wangekuwa wanakutana na simba hapo ungeongea icho unachokiongea lakini sio mbele ya yanga hii ya kocha Nabi subilia majibu utayapata bila chenga uje na mada nyingine
 
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao
Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu ambayo inalazimisha matokeo kama hawa majama au ikiwezekana kabisa kwa jinsi wanavyo cheza hawa majama tusicheze short pass tuwachezee long pass tukipata tuna peleka kule kwa akina kisinda na Mayele
Maana wana speed kitawafanya wawe na uoga wa kupata kama walivyo kuwa wana panga leo
Sema kimeumana
 
TIMU KUBWA ZINAANZIA UGENINI ILA MAMA WA KAMBO SASA DE KINYESI BIN WAHEEDD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ibenge anajua madhaifu ya wachezaji wengi wa Yanga kawafundisha anawajua.Al Hilal wanamjua Nabi kawafundisha wakamfukuza baada ya kipigo kutoka kwa Simba.kwaio maumivu kwa Yanga yapo tena mabaya sana ukizingatia game itaanzia kwa Mkapa na kumalizia Sudan orijino achana na ile Sudan ile ya wale Zalan fc waliokuja na Roli.
 
Ila kaka inaonekana utopolo inakuumiza sana..[emoji16]
 
images (38).jpeg

Sisi hatunaga tabia hizi. Tunajiamini sisi ni bora na timu tunayo.
 
Ibenge anajua madhaifu ya wachezaji wengi wa Yanga kawafundisha anawajua.Al Hilal wanamjua Nabi kawafundisha wakamfukuza baada ya kipigo kutoka kwa Simba.kwaio maumivu kwa Yanga yapo tena mabaya sana ukizingatia game itaanzia kwa Mkapa na kumalizia Sudan orijino achana na ile Sudan ile ya wale Zalan fc waliokuja na Roli.
Kwa kuwa umefungwa wewe unazani kila mtu atafungwa,kama unajua unajua tu hata uanzie wapi. Nakukumbusha wale wamakonde na Makirikiri mechi zote ulianzia ugenini na ukaja kutolewa hapa kwa Mkapa.

Wamakonde wamekutoa kwa goli la ugenini kwa Mkapa na Makirikiri wakakupiga tatu moja kwa Mkapa.
 
Shida yanga tuna tabia ya kuweka mechi usiku. Ni bora ichezwe saa tisa tu wote tuchoshane.. maana usiku tunaweza toa sare dar then ikawa safari

Mechi na Al Hilal kule sudan tutawekwa juani saa tisa ama saa 10 ili watuchoshe

Ndio tabia yao Al Hilal..

Yanga Haiwezi Tolewa Na Hawa Kama Unabisha Subiri Uone..
 
Shida yanga tuna tabia ya kuweka mechi za Caf Dar usiku. Ni bora ichezwe saa tisa tu wote tuchoshane.. maana usiku tunaweza toa sare dar then ikawa safari

Mechi na Al Hilal kule sudan tutawekwa juani saa tisa ama saa 10 ili watuchoshe

Ndio tabia yao Al Hilal..
Leo walicheza saa ngapi
 
Unaongea vitu gani wewe, wangekuwa ni ivyo unavyosema goli wangelipata mapema sana wamebanwa tena kwao wanakuja kupata kagoli dk ya 85 alafu unasema eti wanatisha we vipi bwana, wangekuwa wanakutana na simba hapo ungeongea icho unachokiongea lakini sio mbele ya yanga hii ya kocha Nabi subilia majibu utayapata bila chenga uje na mada nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhan Al Hilal ni wana mgambo wa Juba???
Poleeeeeeeeh, utopoloooo wanasenga njeeeeee.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
TIMU KUBWA ZINAANZIA UGENINI ILA MAMA WA KAMBO SASA DE KINYESI BIN WAHEEDD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] underdog anaanzia nyumbani, atake asitakeee.

Letaaaaa utopwiseeeeeeeee,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Winga Morrison, Winga Kisinda …Kumi Stephane Ki, Mbele King Of The Game “Mayele”, Kati Kati Aucho Na Fei, Kushoto Na Kulia Farid Musa Na Djuma, Nyuma Nazima Mwenyewe MVP Mzee Wa Kazi Chafu Na Mwng Wa Nguvu International Defender Dickson Kazi Af Golini Mdaka Mishale Diarra…..HIVI TUNATOLEWAJE? TUNATOLEWAJE KWA MFANO? MAMAEE!! [emoji28]
 
Nabi kafundisha el Merreikh na sio al hilal

Back
Top Bottom