Unaongea vitu gani wewe, wangekuwa ni ivyo unavyosema goli wangelipata mapema sana wamebanwa tena kwao wanakuja kupata kagoli dk ya 85 alafu unasema eti wanatisha we vipi bwana, wangekuwa wanakutana na simba hapo ungeongea icho unachokiongea lakini sio mbele ya yanga hii ya kocha Nabi subilia majibu utayapata bila chenga uje na mada nyingineYeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao...
Sema kimeumanaYeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao
Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu ambayo inalazimisha matokeo kama hawa majama au ikiwezekana kabisa kwa jinsi wanavyo cheza hawa majama tusicheze short pass tuwachezee long pass tukipata tuna peleka kule kwa akina kisinda na Mayele
Maana wana speed kitawafanya wawe na uoga wa kupata kama walivyo kuwa wana panga leo
Ila kaka inaonekana utopolo inakuumiza sana..[emoji16]TIMU KUBWA ZINAANZIA UGENINI ILA MAMA WA KAMBO SASA DE KINYESI BIN WAHEEDD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa kuwa umefungwa wewe unazani kila mtu atafungwa,kama unajua unajua tu hata uanzie wapi. Nakukumbusha wale wamakonde na Makirikiri mechi zote ulianzia ugenini na ukaja kutolewa hapa kwa Mkapa.Ibenge anajua madhaifu ya wachezaji wengi wa Yanga kawafundisha anawajua.Al Hilal wanamjua Nabi kawafundisha wakamfukuza baada ya kipigo kutoka kwa Simba.kwaio maumivu kwa Yanga yapo tena mabaya sana ukizingatia game itaanzia kwa Mkapa na kumalizia Sudan orijino achana na ile Sudan ile ya wale Zalan fc waliokuja na Roli.
Shida yanga tuna tabia ya kuweka mechi usiku. Ni bora ichezwe saa tisa tu wote tuchoshane.. maana usiku tunaweza toa sare dar then ikawa safari
Mechi na Al Hilal kule sudan tutawekwa juani saa tisa ama saa 10 ili watuchoshe
Ndio tabia yao Al Hilal..
Leo walicheza saa ngapiShida yanga tuna tabia ya kuweka mechi za Caf Dar usiku. Ni bora ichezwe saa tisa tu wote tuchoshane.. maana usiku tunaweza toa sare dar then ikawa safari
Mechi na Al Hilal kule sudan tutawekwa juani saa tisa ama saa 10 ili watuchoshe
Ndio tabia yao Al Hilal..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhan Al Hilal ni wana mgambo wa Juba???Unaongea vitu gani wewe, wangekuwa ni ivyo unavyosema goli wangelipata mapema sana wamebanwa tena kwao wanakuja kupata kagoli dk ya 85 alafu unasema eti wanatisha we vipi bwana, wangekuwa wanakutana na simba hapo ungeongea icho unachokiongea lakini sio mbele ya yanga hii ya kocha Nabi subilia majibu utayapata bila chenga uje na mada nyingine
Leo walicheza saa ngapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] underdog anaanzia nyumbani, atake asitakeee.TIMU KUBWA ZINAANZIA UGENINI ILA MAMA WA KAMBO SASA DE KINYESI BIN WAHEEDD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hiyo kucheza juani kulimsaidia kuvuka hatua ya makundi?Mimi naongelea ya yanga wewe unaongelea leo.
Al hilal akicheza na timu kali huwa mechi anaweka juaniii.. mwaka huu A Hilal amecheza hatua ya makundi caf champions league.. mechi zake za nyumbani alikuwa anaziweka juani tupu..
Ibenge anajua madhaifu ya wachezaji wengi wa Yanga kawafundisha anawajua.Al Hilal wanamjua Nabi kawafundisha wakamfukuza baada ya kipigo kutoka kwa Simba.kwaio maumivu kwa Yanga yapo tena mabaya sana ukizingatia game itaanzia kwa Mkapa na kumalizia Sudan orijino achana na ile Sudan ile ya wale Zalan fc waliokuja na Roli.