Tangazo kwa wanaudsm wote kuhusiana na tarehe rasmi ya suplimentary.

mindolo

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
42
Reaction score
10
kwa wale wa udsm tarehe rasmi kwa ajili ya suplimentary ni Tarehe 16/09/2013 na sio tarehe 23/09/2013 kama almanac-udsm inavyoonyesha, kwa hiyo ndugu zangu tujipange kwa mashambulizi ya kumuuangamiza adui suplimentary asije akabadilika kua carry over. Mungu atutangulie na kutuongoza.
 
Sasa mkuu asante sana maana nina vimeo vitatu pale engineering, na tangazo liko wapi? maana nimecheki website hamna kitu
 
Hizi taarifa nimezipewa na katibu mkuu wa CONAS, ameniambia niwajulishe na wengine ndio maana nikalipost hili tangazo hapa Jamii Forum.
 

Poleni na kila la kheri kazeni misuli mtoke
 
kweli tangazo ambalo liko official kama hilo lisiwepo kwenye website?? kama ni kweli basi UDSM wanafanya upumbavu..... utawezaje kuwaambia wa2 wote aisee

 
unashangaa sup 3 kwa coet....mbona kawaida sana mi niliwahi pata sup 5 coet na nikachomoa zote na sasa nakula bata kitaa...ach ushamba

Sijui unatetea madudu gani wewe!Labda unahisi ni ww tu uliyesoma hapo?Sishangai kizazi cha MULUGO kupata sup 5 anyway!

Ukipata SUP 5 COET ina maana huwezi faulu hata admission tu vyuo vya ukweli kama MIT-Boston!
 
Poleni sana. Zamani iliitwa "September eleven"!!!!!
 
Tangazo ni la kweli ukipuuzia ni wewe ila ujumbe ufike tuu kwa walengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…