Tangazo kwa wanaudsm wote kuhusiana na tarehe rasmi ya suplimentary.

Kama hukusoma water resourses, structural au electrical njoo ujiunge na mojawapo ya hizo ,sio mbaya ukawa na degree tofauti tofauti kama Luhanga

Mheshimiwa tunarudi palepale!
Ina maana COET hamna aliyesoma kozi tajwa hapo juu akamaliza bila SUP?Kama wapo why not you?

Soma kwa bidii punguza mitoko isiyo na lzm na undeni vikundi na vyuo vingine kwa degree zinazolingana then mnabadilishana mawazo na materials;ndiyo sisi tulivyokuwa tunafanya!
 
ulisoma koz gani ?
 
AVerage ya 40% watu wanapata supp? ingekuwa 50% kama SUA & MUCCoBS ingekuwa ni hatari
 
AVerage ya 40% watu wanapata supp? ingekuwa 50% kama SUA & MUCCoBS ingekuwa ni hatari

Ndio kwanza unaingia form five ya chuo unayafahamu vipi? Subiri ukifika chuo utafahamu kwanini supp huwa zipo
 
Inawezekana na wewe ni hali ya hewa 2
 
Hahahahaahahahaaaaaaaaaaaaaa akikua atajua tu hahahaahahah

Acha ushabiki wewe mimi nasoma LL,M, masters ya law

Mpigasuli when you say such words hakikisha comments na thread zako kama hizi umezifuta. Just sayin!!
.
Kaka mawoso graduation yetu ya f6 2012 hawakuja kuzecha disko! Nilichukia vibayaa nikasema lazma niende n'gambo kucheda
.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/288437-ba-psm-muccobs.html
 
duuu poleni sana.... inanikumbusha miaka hiyo walitaka kunila kichwa.... daaaah hiki chuo bana
 
AVerage ya 40% watu wanapata supp? ingekuwa 50% kama SUA & MUCCoBS ingekuwa ni hatari
Kwani mtihani mmoja? think twice, aliyepata wastani wa 76 azania sec. na aliyepata wastani wa 76 arusha sec., je wana akili sawa?
 
Maswali mazuri kweli , Supp sio dhambi nafikiri ni kuelewa zaidi,(ni sawa na wale wanaoamini : kuimba ni kusali mara mbili) kama mtu hajaweza kupata hata C anastahili ajipange upya. Japokuwa wengi wao huwa ni kwa sababu ya woga wao tu. kupata supp ni rahisi kama ilivyokupass i.e C and above.!!

Anyway, nakubaliana na wewe kuwa marks ni number tu..na kutumia ulichapata ni jambo lingine. Nawafahamu wengi waliokuwa wanakula supp kila sem. lkn sasa wamedhihirisha uwezo wao kazini.

swali ni wamefanya kitu gani cha ajabu mkuu? hao wasio na supp hata moja? impact kwa jamii?, wana-patents, innovations, au chochote te tu au ni makaratasi tu ya chuo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…