Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,953
Nitakucheki soon ndugu lukosi, hongera kwa nia hii njema , watanzania wenzetu wamekuwa wakizikwa kama kuku huku UK, nimeshuhudia juzi katika mji wa Reading mtanzania akizikwa na serikali ya UK baada ya kukaa hospitali kwa muda mrefu huku ubalozi wakiwa kimya na hata Mizengo pinda alivyokuwa UK juzi , ndugu zangu fulani mwalimfahamisha ila naye kakaaa kimya, nawapongezeni for CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY mliyoionesha, hopefull kama kuna external auditors wanawakagua basi wataonesha compliance yenu na UK code of Corporate Governance
so sorry to hear that...how comes someone being buried over there( i mean in reading) without relatives being informed? do u people out there dont have any association? dont u spare sometime to meet physically? wht I thought when u meet thousands of miles away from your homes ...u become really united
Ndugu yangu mwenyewe nimeshtuka sana, nina ndugu yangu anafanya kazi NHS ( kwa uingereza inaitwa NATIONAL HELATH SERVIECE) ndie alimuita dada angu hospitalini baada ya huyo mtanzania kuwa amekaa pale kwa muda wa wiki sasa, alikuwa akifanya kazi za uyaya, wana anuani za ndugu zake wawili ( kwa privacy siataziweka hapa) lakini inaonekana sio authentic, inasikitisha sana ndugu yangu
Mkuu sie biashara yetu ni kusafirisha mizigo, kununua na kuuza magari na pia tuna workshop za kutengeneza/kukagua magari/garage
Mkuu asante sana kwa wazo lako.Mkuu Lukosi hili ni jambo la maana sana na la msingi ila usimamizi wa hii account ndio jambo la kuangaliwa sana. Kumekuwa na tabia za kutapeliana sana hapa UK kwenye masuala ya michango au niseme pesa. Kwa mawazo yangu hii account isimamiwe na ubalozi wetu au hata Mhe. Balozi mwenyewe. Vinginevyo uaminifu utakuwa wa utata!!