Tangazo kwa wauza supu na wanaotaka kufanya biashara hii

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu habari za muda huu,

Tunasambaza miguu ya ng'ombe,mkia,na ulimi, kwa wafanyabiashara wa kuuza supu kwenye mahotel na kwenye mabaa,bei zetu ni
miguu minne ya ng'ombe sh.18000
ulimi sh.6000
mkia sh.6000.

kwa mawasiliano 0757994417, kwa Dar utaletewa popote,na muda wa kuletewa ni alfajili sana kwa wenzetu wauza bar na wafanya biashara ya supu ya makongoro.
pia ukitutafutia tenda huko ulipo utapata commission
 
Mangeshooooo changamkia dili.

Mkuu nitakucheki fasta pm
 
Niletee hapa NAMNANI kabla ya saa 4 asb leo. Ukifika ulizia Joshua Chumba # 60
 
sema we jamaaa unauza bei bwana Ulimi ni 4000,mkia 5000 ila naona ww umejiekea mpk na hela ya usafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…