Tangazo la Airtel linaruka mara ngapi kwa siku?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Yaani kila channel ya Bongo ninayofungulia halikai mbali, linarudiwa na kurudiwa, hivi hawa watu wana pesa kiasi gani?
namaanisha lile tangazo la hakatwi mtu hapa.


 
Gharama ya matangazo haya huaje hasa kwa siku au kwamwezi? Ni tsh ngapi?
Yaani kila channel ya bongo nnayofungulia halikai mbali, linarudiwa na kurudiwa, hivi hawa watu wana pesa kiasi gani? I mean lile tangazo la HAKATWI MTU HAPA
 
Mtandao umenikaa kushoto huu, naona kama wakishamba flani hivi na vile wateja wake wengi ni wasukuma, ndo naishiwa nguvu kabisa, sijawahi kutamani kuwa mteja wa Airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…