Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 278
Mimi kuna matangazo nayapenda sana. Lipo la hili mtoto anaendesha ringi lake, linakanyangwa
na gari, kisha anajaribu kulinyoosha kwa kajiwe, mama anamwona, anamnunulia baiskeli! Mimi
linanigusa, linaonesha upendo mkubwa kwa watoto wetu! Unampenda mtoto mpaka anafurahi
mwenyewe!
Jamani tuwapende watoto wetu. Ni neema toka kwa Mungu!