pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Mmhhhh
Lile tangazo la bibi kiroboto kwenye hakatwi mtu hapa,ile body language inaashiria nini? Naona katanua miguu halafu mikono kailekeza sehemu za siri huku anasema hakatwi mtu hapa! Kazi kwenu wateja wa Airtel.
Dah! Inavyoonekana unapenda n.g.o.n.o mshikaji au umemtamani bi kiro.....
Mh hata mm nlikua najiuliza swali hilo hilo
kuna demu kaja kunitembelea kavaa tishet imeandikwa hakatwi mtu hapa!
kwa hiyo ilikuwa story tu...
Nasikia kiitikia chake ni hiku; nikatwe kwani nina govi??
JB pekee amefanya vizuri katika tangazo lile lakini stive na bi kilo wamewekwa mbwembwe nyingi mpaka wameharibu.
anamaanisha hakeketwi mtu hapa na mangariba mkome kuwakata ving'amuzi watoto wa wenzenu
Ni tangazo maalum kwa wenye mikono ya sweta
kuna demu kaja kunitembelea kavaa tishet imeandikwa hakatwi mtu hapa!