Tangazo la Ajira kampuni ya Hill

Tangazo la Ajira kampuni ya Hill

Hello members,

Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender.

Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
Barikiwa sana mkuu
 
Mliofanikiwa kwenda...Mm naeona leo andiko Bado nipo in time ?
 
Back
Top Bottom