Denis Gregory Member Joined Jan 10, 2020 Posts 92 Reaction score 108 Jun 4, 2024 #1 Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jun 4, 2024 #2 👍
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Jun 4, 2024 #4 nahisi mimi ni mlengwa wa huu uzi naruhusiwa kuja ok pm
C Care Giver Member Joined Apr 2, 2024 Posts 69 Reaction score 215 Jun 6, 2024 #6 Huku kila mtu Boss hakuna dereva boda boda Mkuu. Lakini mimi nahitaji unaweza kuniconnect!??
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 2,856 Reaction score 5,430 Jun 6, 2024 #7 Denis Gregory said: Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo. Click to expand... Barikiwa sana mkuu
Denis Gregory said: Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo. Click to expand... Barikiwa sana mkuu
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 2,856 Reaction score 5,430 Jun 6, 2024 #8 Care Giver said: Huku kila mtu Boss hakuna dereva boda boda Mkuu. Lakini mimi nahitaji unaweza kuniconnect!?? Click to expand... Imeambiwa ufike ofisini Bagamoyo hyo ndio koneshken yenyewe unataka nn tena
Care Giver said: Huku kila mtu Boss hakuna dereva boda boda Mkuu. Lakini mimi nahitaji unaweza kuniconnect!?? Click to expand... Imeambiwa ufike ofisini Bagamoyo hyo ndio koneshken yenyewe unataka nn tena
Chiblak JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 662 Reaction score 921 Jul 13, 2024 #9 Mliofanikiwa kwenda...Mm naeona leo andiko Bado nipo in time ?