Tangazo la ajira: Pharmacist anahitajika

Tangazo la ajira: Pharmacist anahitajika

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
9,530
Reaction score
20,988
Kichwa cha habari kinajieleza anahitajika mtu wa Pharmacy eneo la kazi ni Mwanza, education level kuanzia diploma maelezo zaidi njoo PM na offer yako.
 
Taja mshahara kwanza ni milioni ngapi Kwa mwezi ?.mambo ya pm tupa kule.
 
Back
Top Bottom