Tangazo la ajira Polisi

kwanza f6 wengi wa sasa hata miaka 18 hawana, hawa wanawataka hawa wakawatwange chadema virungu na mabomu manake f6 wengi hawaelewi nn kinaendelea mtaani, wenyewe walichatakiwa kusema ni mtz yeyote mwenye hvyo vigezo aombe, eti wanasema wanataka wasomi, km wasomi mbona degree holders ni wengi na wanashinda hapa jf kutafuta kazi? au wanaogopa jf nzima tukienda huko watakosa watu wa kuwaamrisha kiholela kupiga watu mabomu
 
Bora nirudi zangu kijijini nikachome mkaa kuliko kuwa Polisi wa Tanzania! Upolisi ni Kazi ya laana!
 
polis wengi hawajui law wanatumia nguvu sana na wakikuona upo smart wanajifanya umewazuia wasifanye kazi yao obstructing
 
Jaman nmepata habari kuwa Jkt itatangaza kujiunga na jesh tar 20 march kisha zitafuata za Jwtz.source: mjeshi jirani yangu,for more satisfactory details its better nawe kuulza uwajuao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…