Tangazo la ajira

Tangazo la ajira

Trison king

Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
22
Reaction score
32
Habari wapendwa. Nina mgodi mdogo wa dhahabu geita yani (planti)sasa nlkuwa nahitajii wataalam wa IT computer wawilii. Ambao nitakuwa nawalipa mshahara kila mwezi.
 
IT professional au ata aliesoma basic ya computer anaweza faidika na iyo fursa??
 
Habari wapendwa. Nina mgodi mdogo wa dhahabu geita yani (planti)sasa nlkuwa nahitajii wataalam wa IT computer wawilii. Ambao nitakuwa nawalipa mshahara kila mwezi.
Eleza kwa mapana IT kama IT au hata aliye na computer bssics ?

Je lazima awe amesoma au unahitaji hata wenye expriences zao za mtaani ?

Je utamlipaje ? Je aje huko hakuna interview au ni kuingia tu .

Waeleze vijana ni wengi mtaani .
 
Back
Top Bottom