Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,450
- 600
basi ukicheka huwa naburudikaaaa !!!huwa linanichekesha sana hilo tangazo...........
naam !!unasemaje ankohahaaaaa anko kidevuuu
huyo huyoo kabisa..Si yule anamchumu mama kwe gali lake! Alaf anamwambia i love you too!! Ha ha ha mama hoi!! .....
unabahati mbayaHata silijuii
unabahati mbaya
Kama umelitumiwa nirushie nami, nalipenda sana.
Heh.... na wewe unalitaka!!Kama umelitumiwa nirushie nami, nalipenda sana.
jaman mwenye hili tangazo la Anko kidevu naliomba liwe mp3 au mfumo mwingine aliweke humu au PM.
babaa, mbona we huninunulii soda kama anko kidevu?
ukirushiwa bwana mapesa namiye usinisahau kwenye ufalme wako nalipenda too...
Heh.... na wewe unalitaka!!
sawa mama kidole
Heh.... na wewe unalitaka!!