unasukuru kwa lipi shehatAhsanteeer...
ha ha ha !! Sawa anko kidevu !!
hata mimi pia...
Ntakutumia via pm
Wasalimie Himo
naam !!unasemaje anko
Kidole nae mbeaa!!! Sa nani atamnunulia thoda na chipis tena....!!!!!!
teh...teh... pipi kidonge au pipi kijiti....?mmmh ankooo ninunulie pipiiii
basi ukicheka huwa naburudikaaaa !!!
teh...teh... pipi kidonge au pipi kijiti....?
pipi kijiti.... ndio naipenda
teh...teh... pipi kidonge au pipi kijiti....?
mh.......
umepata ankal wangu.nataka pipi kijiti ankooooo!
umepata... tena kwa wewe aaaaaaah!! muda wowote unapata.pipi kijiti.... ndio naipenda
vipi mzee mwenzangu,, unaguna tu.mh.......
na nikifarijika huwa unapendeka zaidi.ukiburudika wewe no faraja kwangu
umepata ankal wangu.
hayaaa!! asnte pia.. but hiko kiatu ulinunuliwa na nani....?asante ankooo