ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
vipi mzee mwenzangu,, unaguna tu.
Slave nakukumbusha pipi yangu ya kijiti atiumepata... tena kwa wewe aaaaaaah!! muda wowote unapata.
watoto wa siku hizi ni balaa mtupu, wanatutia majaribuni kweli kweli.tangazo mzee....
ngoja nami nije nimkague mkaguzi wa kike Lady doctorkukaguliwa nako kuna faida zake anko...
Nikufanyie mpango wa pea nyingine au nikununulie kifunika kikojoleo??
ahahaaaaaaaah! babu mpana wewe, mi nataka vyooteee!
Vyote? Yani Airtel na Tigo??