Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Tunatengeneza Business card, Vipeperushi na ku-design logo, kwa yeyote anayetaka huduma hizo, ani-PM
Karibuni sana...
Umekamilisha Andiko lako mkuu?
Unachokifanya ujue ni within a professional sasa kama Tangazo lako tu nii issue kuliandaa what about others business?
Mkuu design tangazo lako kama professional bana, lijitosheleze kwanza lenyewe basi
Papa Mopao,mutu ya zamani upo? hongereni sana kujitoa kimasomaso ili kuupiga vita umaskini,nikikaa vizuri nitakutafua.
Nalog off
Washawasha, tunakushukuru sana kwa pongezi zako, hiyo ndo taratibu za kuuweka maisha sawa. karibu sana kwenye huduma zetu!
usijali kiongozi.Washawasha, tunakushukuru sana kwa pongezi zako, hiyo ndo taratibu za kuuweka maisha sawa. karibu sana kwenye huduma zetu!