Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Najuwa kama wameedit ila mi napenda tu....mbona movie tunaangalia na ilihali tunajua ni uongoIle vipande vimeeditiwa ndugu yangu but wamejitahid sana..Hata hivyo pia sidhan kama zile sura ni za wakenya labda tangazo lao tu
Kwani wakenya ni wabaya kwa kila kitu? Mbona hata wao wanawakubali dada zetukote umeelezea vizuri ila hapo tu kwa wakenya ndo umenipandisha hasira ndugu yangu
poyeekote umeelezea vizuri ila hapo tu kwa wakenya ndo umenipandisha hasira ndugu yangu
Pslepoyee
Nimejikuta nakupenda tu Valentina.Napenda yule mtoto
Tumeagizwa tupendane[emoji4]Nimejikuta nakupenda tu Valentina.
akhsanteh.!...hata hivyo nimekwisha poa ndugu yangu....poyee
Hii ni habari njema kwangu, kumbe nawe wanipenda. Hivi hiyo avatar ndio wewe mwenyewe?Tumeagizwa tupendane[emoji4]