fastum JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 337 Reaction score 220 Jan 9, 2017 #1 Dah kwa kweli hili tangazo la Dstv bomba linachekesha sana na hata hawa waliohusika walijua kutakuwa na tafsiri nyingine kwa watazamaji. Jamaa:unaonaje bomba? Demu:aahh iko bomba.
Dah kwa kweli hili tangazo la Dstv bomba linachekesha sana na hata hawa waliohusika walijua kutakuwa na tafsiri nyingine kwa watazamaji. Jamaa:unaonaje bomba? Demu:aahh iko bomba.
M MAGUNJA JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,003 Reaction score 545 Jan 9, 2017 #2 Liko wapi