L lycan31211 Member Joined Aug 13, 2012 Posts 13 Reaction score 3 Sep 19, 2012 #21 :flypig:jamani inafunguka fresh tu na hata mpaka sasa nimeifungua na hakuna jipya wala dalili
B Benard Ngomela Member Joined Sep 18, 2012 Posts 15 Reaction score 0 Sep 19, 2012 #22 Nina ungana na wewe uliyetoa mawazo hapo juu kwan walijibu mapigo tu soma statistics z Mwananchi na ITV utaona wanadandany
Nina ungana na wewe uliyetoa mawazo hapo juu kwan walijibu mapigo tu soma statistics z Mwananchi na ITV utaona wanadandany