Tangazo la heslb kwa wale continuing students..

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
kuna huu ujumbe unapofungua pge ya bodi unaonekana.hii humansha majina waliyo toa heslb ni kwa first year wale flesh tu,s tuendelee kusubiri yetu.
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD
FRESHERS' LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 2013/14
 
Endelea kutupa moyo mkuu, mana wengine tumeomba kwa mara ya pili lakini tumekosa tena, cjui gundu gani hili jamani
 
Khe! kheri ya hayo maana nlikuwa najiuliza yale matokeo ya freshers 2 au ndo na cc! xaxa ye2 yatatoka lin?
 
kuna huu ujumbe unapofungua pge ya bodi unaonekana.hii humansha majina waliyo toa heslb ni kwa first year wale flesh tu,s tuendelee kusubiri yetu.
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD
FRESHERS' LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 2013/14

iyo ni kweli continues co sawa na freshe's sema cc tunachanganya mambo, pia idadi ya walioomba co sawa na waliyotoa heslb ata aiingii akilin (29754) ni kwa first year tu contines tutayakuta vyuon coz weng ambao ni continues imeandika not secured km kuna ambae ni continues ameona kapata ktk loan allocation anicomment.ni ayo tu wanachuo wenzang.
 
Mmmhhh may be,, maana cjasikia kabisa continuous student amepata mkopo... Ngoja tusubiri tuone
 
Continues ambao waliomba mkopo na wapo vyuoni majina yenu mtayakuta vyuoni mwenu baada ya chuo kufunguliwa na wengine waliokuwa wanafaidika na mkopo tayari wakiwa wamepata,mlio apply sasa ndio mtapatiwa pesa zenu...Mchana mwema
 
Kwa hiyo majina ya wanufaika na mkopo hayatatoka kwenye internet
 
Kwa hiyo majina ya wanufaika na mkopo hayatatoka kwenye website ya heslb???
 
Tulieni ninyi mnaoendelea majina vyuoni.Bodi huwa hawatoi kwenye mtandao wao hufanya hvy kwa wale waombaji wapya tu.
 
Vijana msipanic huu mwaka wenu maana continuing students wametengewa fungu kubwa kuliko freshe's so mna possibility ya kuwezeshwa almost 60,000stdnts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…