Tangazo la JKT

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Tangazo la JKT
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI KAMA ILIVYOPANGWA.
-
AIDHA ANAWATAKA KUPUUZA TAARIFA YOYOTE INAYOHUSIANA NA JKT NA BADALA YAKE WATEMBELEE TOVUTI YETU YA www.jkt.go.tz AU MAKAO MAKUU YA JKT YALIYOPO MLALAKUWA, DAR ES SALAAM KWA TAARIFA ZAIDI
 
Jamii forums ina vichwa maji wa Mulugo kubaka kumetoka wapi sasa?
 
Ilo tangazo ni batir acha kupotosha jamii tangazo hili ni kwa awamu iliyo pita ma sivingnevyo kijana hahahaha!! Umechapia hy
 
Tangazo hilo limetolewa tar 2/08/2013. So usikurupuke just go and visit www.jkt.go.tz sio kuongea tu bila proof
 
Hiyo hatari.. Kwa hiyo 2lioenda awamu ya kwanza 2mejila?
 
Ilo tangazo ni batir acha kupotosha jamii tangazo hili ni kwa awamu iliyo pita ma sivingnevyo kijana hahahaha!! Umechapia hy

acha kuropoka usivyovijua utoto huo umechunguza?acha ushamba tembelea website ya jkt angalia habari za karibuni,ni jipya nimekuwa nkiangalia mara kwa mara web yao
 
Duuuuh, kwa kwel jkt mi sikupendi kabisa, sekta ya elim hii utumbo mtupu
oooh! ahsante kwa ulietujulsha bwana
 
Jamii forums ina vichwa maji wa Mulugo kubaka kumetoka wapi sasa?

Lazima awe specific habari gani zipuuzwe? kuna habari lukuki zinazohusu JKT, au mtoa uzi katoa kitu nusu nusu
 
acha kuropoka usivyovijua utoto huo umechunguza?acha ushamba tembelea website ya jkt angalia habari za karibuni,ni jipya nimekuwa nkiangalia mara kwa mara web yao

ha ha ha kuna mbugila wengi sana icho div3 kinakutia ukubwa wenzio tulishafaul siku nying we eti kujitia unasubir awam yatatu wenye 1 na 2 wenzio wako jesh saiz ---- u hamuend nakuambia usilite mawazo yako finyu hapa eboo!! Vijitu vingine ulimbuken tu tembea mbele kijana usiupdate thread kama hiyo
 

we kobe acha hizo unaropoka sana mkuu,acha jamvi la watu wenye hekima zao,inaonesha we ni mtu wa aina fulani.au kufika chuo ndo unajiona umepanuka akili mwenyewe.unaweza ukawa na phd kumbe mbugila tu thats why umefaulu kwenye makaratasi.ebu angalia thread zako unazo post.ebu jiondoe humu umevamia rudi fb.alafu kumbe we lebo yako member tu mi nlijua expert member.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…