AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Ilo tangazo ni batir acha kupotosha jamii tangazo hili ni kwa awamu iliyo pita ma sivingnevyo kijana hahahaha!! Umechapia hy
umeona jinsi gani upo nje ya ulimwengu,yaan umepitwa na mengi inaonesha,hili tangazo jipya ndo usikosolewe lo,inaonesha chuo ulipata shida kuelewa na ma lecture walikupiga sup za kutosha
inasikitisha sana kwangu mi msomi kudharauliwa na kijana mdogo kama huyu kwataarifa yako sijawahi kusup wala kucary coz yeyote ile dogo kizaz chadotcom utapata shida ukipata chance yakufka chuo m sinipo utapata sup zakutosha ikiwezekana hata discont.. Baada yakuomba msaada unajitia muchknow haya bwana
hivi kwa post kama zako hujawah sup kweli da,kwa taarifa yako hata kama mtu mzima ukweli nakwambia
Wengi mnamlaumu kwa kusema hilo tangazo ni batiri lakini kwa haraka haraka Tangazo hilo halina sifa au hadhi ya Tangazo linalo weza kutolewa Taasisi ya Serikali! Hata kwenye Website yao limetolewa kama mtu alikuwa anjifunza kuandika kutumia key board!?? Duh.... kazi yao kubaka tu.
we dogo nyenyekea bas bado unawimbi kubwa lakuhitaji msaada sana siajabu ndo zako kufeli feli ovyo so take care usimtukane mamba kabla hujavuka mto bado huja fanya chochote hapo ulipo jaribu kuheshm wakubwa zako yaishe bas bwna mdogo unakua mkali kama chiriku cha msingi tutakiene heri tu usogope au sio
haya mkuu cobe mi cna kinyongo yaishe