Hello! Wana JF.
Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.